Psalms 55:6-7

6Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa!
Ningeruka niende mbali kupumzika.
7 aNingalitorokea mbali sana
na kukaa jangwani,
Copyright information for SwhNEN